Part 03:kugeuza nia
MAUTI IMO SUFURIANI 2 falme 4:40 Je udhaifu wako ni nani anautumia kuwa chombo.uhitaji wako na tamaa Yako Ina asili ipi? Wale manabii kipindi Cha Elisha walikuwa na njaa wakakusanya chakula chenye mauti?. Kila mtu hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe Ko tusikubali mahitaji na kiu yetu itupeleke gizani/ kwenye mauti. Hata siku Moja MUNGU hamjaribu mtu. #lakini mwanadamu ndiyo kwanza anayeanza na tamaa.hiyo tamaa ndiyo inayomfanya MUNGU au shetani aingilie kati #yohana anasema tujithibitishe na tuthibitishe kwamba roho inayotuogoza kwenye tamaa tuliyo nayo ni ipi? Mbaya au nzuri? #maana wale Wana wa manabii walikuwa na lengo zuri tu la kula chakula lakini adui akataka awaharibu kupitia tanaa yetu. #tunaanza kwa misingi mizuri alafu tunajenga nyumba mbaya(wokovu). Kwa kuwa hakika Kuna kuwa Kuna mahali tuliruhusu na ushauli wa shetani kwenye maisha yetu 2 nyakati 10:13. #rehoboamu alichagua njia mbaya ya vijana badala ya kufuata njia ya matendo. #ko tunajifunza kuwa lengo la Rehoboam lilikuwa...