B: kuweza kulitendea kazi neno la MUNGU

 Mwalimu:Amani Ernest kyamba 


Mathayo 13:1

Njia na Mwamba..

Roho mtakatifu ni jumla ya mazingira yote ya kuifanya mbegu ikue. 

Neno likikaa kwa mtu ambaye Hana  wokovu wa YESU Kristo ni kama upuuzi.ndo maana ataonekana kuwa haelewi kwa kuwa Mwamba hauna msingi wa kujenga nyumba...ko atalipokea kwa furaha kama Wana wa Israel walivyofanya( au kama mfano wa mbegu katika udongo) lakini yalipokuja majaribu kulipima neno yakawashinda kwa kuwa walikuwa hawana msingi unaojenga thamani ya NENO LA MUNGU.ko wakawa hawaoni thamani ndiyo maana maneno ya MUNGU wenyewe waliyachukulia kama ya MSA ko hawakuweza kubadilika.ko waliyashika lakini hayakuwa msaada kwao wakati wa shida ..ko Wana wa Israel walipandwa neno juu ya miamba .. ko kumbe udongo ni msingi// ko Mwamba ni sehemu haina udongo mwingi ko Ina maana hakuna msingi imara na ndio maana pepo na mafuriko yalipokuja kuleta majaribu mtu alidondoka kwa kuwa matunda ya neno yalikuwa mateta...na hayakuwi Tena ..

Mzizi ni roho wa MUNGU kwa kuwa huyo ndo msaada mara jua linapokuwa Kali kwa kuwa yeye hutupa mahitaji ya kiroho tunapokwama ko udhaifu wetu unakamilishwa na ROHO mtakatifu.mtu aliye chini ya Mwamba ni mtu aliye chini ya Sheria.yaani Hana wokovu.kwa kuwa wokovu ni ROHO mtakatifu ni neno na sio andiko

*Maana andiko lipo tu likawa halina nguvu lakini neno Lina nguvu Sasa Hawa wanaishi andiko.maana ukitambua kuwa andiko la kwenye biblia limeandikwa na MUNGU hapo ndipo litakuwa neno Sasa sisi tatizo tunayaona maneno ya MUNGU kama maandiko kama yalivyo maandiko ya vitabu vingine .kujua kuwa biblia ni neno la MUNGU kunatupa nguvu na kubali Cha kulifuata neno la MUNGU.

*Kumbe andiko litaitwa neno pale ambapo limetimilizwa la sivyo Bado ni andiko..ko watu tunafeli kuyageuza maandiko matakatifu ya MUNGU,kuwa neno la MUNGU.

*njia ni udongo mzuri uliokokomazwa kutoka a na shughuli za nchi.. yaani ni mtu aliyekomaa na kuizoea dhambi Hadi akishindwa kuishi inavyopasa..1 korinto 1:18.kumbe Hawa ni watu walioijua njia vizuri mara ya kwanza yaani ,,walikuwa udongo mzuri,, lakini mazoea na kiburi vilipowajaa wakafanyika wagumu ko adui anawanyima nafasi ya kukuza neno Wala kupaliliwa tena ili wabaki hivyohivyo.kwa kuwa ili ardhi ipaliliwe ni lazima itengwe mbali na shughuli za Dunia ndipo irudishwe mbali na dhambi..tunapaliliwa na mchungaji na watumishi wa MUNGU kwa kupitia mafundisho maalumu ya kutambua thamani ya kuwa udongo mzuri..maana udongo unaweza  kupaliliwa lakini ukaendelea kukanyagwa jambo ambalo ni ukosefu na uharibifu.hazikuwa na mizizi kwa kuwa Mwamba ni mgumu kuruhusu mizizi kuota ko jua litaharibu tu mmea japo ni la faida..

MIIBA..

Miiba hakuna ardhi/msingi//hakuna Cha faida ya mizizi kwa kuwa kukosekana kwa maji ya ardhini,ambao ndiyo msingi yaani YESU Kristo hakutakuwa na maji ya uzima wa neno la MUNGU.ko uhitaji wa ROHO unakuwa haupo..huyu ni mtu asiye na uelekeo kabisa na neno la MUNGU.yaani Hana udongo/msingi Wala maji ya kutosha yaani Hana MUNGU kabisa na neno alisikialo haumbi kabisa jambo linaitwa kutenda kazi yaani ni sawa na kusaga mbegu kwamba haitazaa Tena...husikiliza,huyaacha na kuondokaa..ni m

Kame wa kiroho ko 

Na ndo maana neno halitamjaribu kwa kuwa anafunikwa na kivuli feki Cha shetani na anajiona hai kumbe amekufa....yeye anasikiliza neno lakini ameshaweka mambo yake kipaumbele kuliko neno la MUNGU ko anaanza kulisonga neno hata wakati anasikiliza ili lisizae anapunguza  nguvu ya neno linalotaka kumbadilisha yeye anataka kulibadilisha ili liendane na shughuli zake ni MIIBA hiyo..

Udongo mzuri ni yeye yule aliyelisikia neno na kukidhi viwango vya kuzama katika Hilo yaani kulielewa..huyo atazaa matunda yatokanayo na neno na ndiye ataitwa mtakatifu wa MUNGU kwa kuwa ananyumba imara..

Yohana 12:40..,mathayo 13:15 maadamu unakubali kubadilika basi njoo atakuponya..

SOGH Team


Comments

Popular posts from this blog

A.Kuweza kulitendea kazi neno la MUNGU

Je kwa nini namna ile?

Mwamuzi(short notes)