Official message
From now on,we will be active as God wishes
SOGH TEAM ni umoja wa watumishi wa MUNGU,kiroho na kihuduma kupitia jina la YESU Kristo na uweza wa ROHO Mtakatifu. Hii ni team isiyo taasisi,yenye mzigo wa kutangaza injili,kwa wanaomwamini YESU ili kuwa imara zaidi,na kwa ambao hawajaokoka ili wampokee YESU na kuonja kipawa cha thamani namna hii(wokovu). Na hii blogu ni moja ya namna mojawapo kati ya nyingi ambazo tunaweza kujifunza zaidi na zaidi katika ROHO. Karibu sana mtumishi wa MUNGU. Barikiwa sana. Mwalimu:Amani Ernest Kyamba.
Comments
Post a Comment