Part 02:KIVULI CHA YAJAYO
Kabla haujasoma ujumbe huu,itapendeza ukisoma sehemu ya kwanza ya hili somo linaitwa KIVULI CHA YAJAYO. Unaweza kulisoma kabla ya hii part 02 ili tuweze kupata ujumbe uliokamilika zaidi. Kwanza nimalizie somo lililopita kwa kitu kimoja. Ufalme wa MUNGU(wokovu) utashuka kwetu pale tu kwanza tukikubali udhaifu na kuhitaji msaada.udhaifu ni Sheria ya torati.ko kamwe hatutastahili agano la wokovu kama hatujakubali kufuata Sheria ya MUNGU kwanza na kushindwa...(Tunajifunza zaidi) Luka 17:20-21 Tunaona kuwa ufalme wa MUNGU ulikuwa katika Israel kwanza kutokana na uwepo wa torati(Sheria). ufalme inamaanisha utawala ko inamaanisha kwamba ukianza kujitahidi kuzifuata Sheria za MUNGU Kuna dalili kwamba unatawaliwa na MUNGU.ko inamaanisha kwamba lazima tuzifuate Sheria za MUNGU kwanza hapo ndipo ufalme(utawala) wa MUNGU utakuwa kwetu. Mathayo 21:43 lakini YESU anakuja kusema Tena kwamba ufalme wa MUNGU utaondolewa kwenu kwa kuwa hamzai matunda ya kifalme na watapewa watu wengine..hii ...